Author - James Mapunda

Michezo

Huzuni….. Mzee Small wa Bongo Movie Afariki Dunia!!

Muigizaji gwiji hapa nchini Said Wangamba”Mzee small” amefariki dunia usiku wa wa kuamkia leo katika hospitali ya taifa muhimbili alipokuwa akifanyiwa matibabu. Taarifa ya kifo cha mzee small zimethibitishwa na mwanae anayeitwa Mahmoud Wangamba, aidha Mahmoud alisema baba yake amefariki …

Jamii Mafanikio

Nyota na Kazi Zenye Mafanikio

Kwa mujibu wa Wanajimu (Wanasayansi wa nyota) kila  mtu hapa duniani ana nyota yake katika mlolongo wa nyota kumi na mbili, kila nyota ina kazi zake za kufanya ili ufanikiwe zaidi katika maisha. [ Soma Pia: Alama za Nyota …

Michezo

Kumi bora ya wanasoka matajiri duniani

Mpira wa miguu umekua ni ajira kwa watu wengi duniani hususani vijana , wengi wametajirika kupitia mpira wa miguu kutokana na mishahara wanayolipwa na matangazo kutoka kwenye makampuni mbalimbali. Ifuatayo no orodha ya wachezaji wanaongoza kuwa na pesa nyingi duniani …

Michezo

Rachel wa Bongo Movie kuagwa kesho

STAA  wa filamu za kibongo, Rachel Haule ‘Recho’ aliye fariki dunia juzi jumatatu anatarajiwa kuagwa kesho jijini Dar es salaam. Marehemu alifariki dunia katika Hospitali ya muhimbili ambako alilazwa chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum baada ya kujifungua mtoto aliyefariki …

Michezo

Pele Aitisha Brazil Kwenye Ardhi Yao

Gwiji wa soka duniani, Edson Arantes do Nascimento’Pele’, amewaambia Brazil waombe wasikutane na Hispania. Pele ambaye amewahi kuipa Brazil mafanikio makubwa kipindi alipokua mchezaji, alisema”Hispania wanatimu nzuri sana hivyo wanatakiwa kuomba wasikutane noa kama wanataka kuchukua ubingwa wa dunia”. Michuano …

Michezo

Lukaku ni Matata kweli kweli

Staa wa Chelsea aliyekua akichezea Everton msimu uliopita, Romelu Lukaku aliifungia timu yake ya taifa magoli matatu katika ushindi wa 5-1 dhidi ya luxembourg. ilichukua dakika tatu tu kwa Lukaku kuliona lango la Luxembourg, lakini Joachim aliisawazishia Luxembourg dakika kumi …