Biashara na Ujasiriamali Fedha na Uchumi

Biashara ya Trevo – Biashara ya Mtaji Mdogo Chini ya TSh. 500,000

Biashara ya Trevo-Biashara ya Mtaji Mdogo Chini ya Sh. 500000

Makala hii inaelezea namna ya kuanza biashara ya Trevo – Biashara ya Mtaji Mdogo Chini ya TSh. 500,000/- ambayo kila mtu anaweza kuimudu.

Siku hizi kila mtu anafikiria kufanya biashara,uwe ni mwajiriwa mfanyakazi,mkulima au mfugaji wote wanaangalia biashara kama njia ya kujenga muundombinu wa mafanikio kifedha.

Japo biashara inawatisha wengi hasa kutokana na matokeo ya takwimu kwamba biashara zaidi ya asilimia 90 (90%) zinazoanzishwa zinakufa katika kipindi cha miaka 5 ya mwanzo. Lakini bado kuna ushahidi kuwa wale wanaosimama na kupambana hadi mwisho hufanikiwa sana. Kwa maana hii basi watu wengi wa kada tofauti wanachagua na kuanzisha biashara mpya katika maisha yao.

Mojawapo ya kikwazo kikubwa cha watu kuanzisha biashara ni mitaji midogo isiyokidhi mahitaji makubwa ya kifedha wakati wa kuanzisha biashara na kukuza biashara husika. Biashara ndogo zinahitaji takribani Tsh. Milioni 5 mpaka 20.  Fedha hii ni kwaajili ya mambo yafuatayo

 • usajili wa biashara au kampuni
 • pango la ofisi au duka kwa mwaka wa kwanza,
 • maandalizi ya fanicha na ofisi kwa ujumla ,
 • mfanyakazi kwa mwaka mmoja wa kwanza na
 • mali ya awali ya kuuza kama unauza bidhaa na siyo huduma.

Kwa gharama hizi inawawia vigumu watu wengi kutimiza malengo yao ya kuanzisha na kumiliki biashara na mwisho wa siku wakata tama na kukosa nafasi ya kuboresha maisha yao.

Suluhisho la Mitaji Midogo ya Biashara: Bishara za Kuanzisha  kwa Mtaji Mdogo

Niliandika siku za nyuma kuhusu biashara za kuanzisha kwa mtaji mdogo (Soma zaidi: Biashara 5 Unazoweza Kuanza Kwa Mtaji Mdogo Chini ya Sh 100,000) na katika nyingi nilizotaja ilikuwamo Biashara ya Mtandao. Leo nazungumzia juu ya hilo peke yake na nimechagua biashara ya Trevo – Biashara ya Mtaji Mdogo ambayo inamwezesha kila mtu kuifanya na kufanikiwa.

Biashara ya mtandao inahusisha makampuni makubwa yenye bidhaa tayari na yanatumia mfumo wa usambazaji kupitia watumiaji wa bidhaa hiyo.

Katika biashara ya mtandao mtumiaji au mteja ni mwanachama wa kampuni husika. Mwanachama huyu mtumiaji ananunua bidhaa toka katika kampuni kwa punguzo kubwa la bei kulinganisha na mtumiaji ambaye si mwanachama.  Mwanachama huyu anaweza kusajili wanachama wapya kujiunga na kampuni husika na atalipwa na kampuni kwa kufanya hivyo.

Aina hii ya biashara inamwezesha yeyote kufanya biashara tena kwa muda wa ziada tu na kujipatia kipato kikubwa pengine kuzidi hata kile anacholipwa katika ajira.

Mitaji ya kujiunga na biashara hii ni midogo sana  ukilinganisha na fedha unayohitaji kuanzisha biashara ya kawaida kama vile duka au kampuni ya huduma. Kwa makampuni mengi haizidi Tsh. Milioni 1. Vyingine unaweza kuanza hata na Tsh, 100,000/- tu.

Biashara ya Trevo

Trevo ni bidhaa katika mfumo wa kimiminika kilichomo ndani ya chupa inayotokana na matunda yenye virutubisho 174 yaliyokusanywa toka sehemu mbalimbali duniani.

Kazi 3 Kubwaza Trevo katika Mwili

 • Kurejesha: Kurudisha nishati muhimu katika mwili na akili kwa njia ya asili
 • Kufanya Upya: Inabadilisha mfumo wa mwili wako ili ufanye kazi kwa namna ya asili
 • Kufufua: Inafufua seli zamwili wako ili kupambana na kuzeeka na kuongeza kinga za mwili

Biashara ya Trevo-Trevo BottlesTrevo inatengenezwa na kampuni ya Kimarekani iitwayo Trevo LLC yenye makao makuu Oklohama Marekani.

Bidhaa ya Kampuni hii ni moja tu Trevo – Juice yenye virutubisho muhimu kwa afya ya binadamu katika chupa moja.

Tofauti na makampuni mengine ambayo huwa na bidhaa nyingi,Trevo ina biodhaa moja tu yenye virutubisho na yenye faida nyingi.

Trevo inatumika nchi nyingi duniani zikiwemo nyingi za Afrika. Ni biashra inayokua kwa kasi na kupendwa na watu wengi kutokana na faida zake za kiafya na fursa ya kipato

Faida za Trevo

Faida ya Trevo ipo katika sehemu kubwa mbili-Afya na Kipato

Inakuwezesha kuwa na afya nzuri kwa kuweka mwili katika hali ya uasili na kuweza kupambana na magonjwa na pili kukuingizia kipato na kuboresha uchumi wako.

Biashara ya Trevo-Trevo-Benefits

Faida za Trevo Kiafya

 • Trevo ina ladha nzuri, Imethibitishwa na Kosher, ni lishe madhubuti kwa watu wazima na watoto
 • Inarudishia virutubisho ambavyo mwili unakosa toka katika vyakula vya kisasa
 • Jawabu kwa familia yako kama lishe kamili,asilia
 • Inakupa ulinzi kamili dhidi ya kuzeeka mapema.
 • Inaupa mwili virutubisho kamili vilivyopungua mwilini vya vitamini muhimu na madini, pamoja kemikali za amino, madini muhimu,antioksidanti na vimeng’enyo vya tumboni.
 • Inaongeza nguvu,inaongeza uwezo wa kufikiri,afya njema, inasaidia kupambana na kuzeeka mapema, na kukuweka katika uzito sahihi

Namna ya Kujiunga na Trevo na Kupata Bidhaa:

Ili kuwa mwanachama utatakiwa kunua bidhaa za kuanzia na utapewa namba ya uanachama itakayokusaidia kupata bidhaa kwa punguzo la bei na kukuwezesha kuwasajili wanachama wapya.

Mwanachama aliyekupa habari kuhusu Trevo ndio kiongozi wako (upline) wa bishara hii. Utatumia namba yake kujiunga na atakupa maelezo jinsi ya kuweka oda katika mtandao na kulipia bidhaa za Trevo. Pia atakupa maelekezo namna ya kulipia bidhaa na jinsi ya kupokea bidhaa baada ya malipo kukamilika na oda kupokelewa.

Unaweza kujiunga na timu yangu hapa: http://trevo.life/florenskayombo/enroll-now

Ili kufanikiwa katika biashara hii ni muhimu sana kujiunga na timu yenye kufanya kazi na mwalimu aliye tayari kukupa mbinu za mafanikio. Binafsi natumia sana mtandao kufanya biashara hii. Ukijiunga na mimi tutafanya pamoja.

Ukitaka kujua zaidi kuhusu kujiunga na fursa hii andika  barua pepe: florensk@gmail.com  Simu: 0713 514703 | 0765 027402  Whatapp: 0713 514703

Viwango vya Kujiunga:

Gharama za kujinga kwa mwanachama mpya ni kama ifuatavyo

 1. Chupa 1: Tsh 192,650
 2. Chupa 3: Tsh 466,700/-
 3. Chupa 6: Tsh 835,850/-
 4. Chupa 9: Tsh 1,179,850/-
 5. Chupa 15: Tsh 1,851,050/-
 6. Chupa 24: Tsh 2,731,950/-

Kwanini Uchague Trevo?

Trevo inakupa faida kubwa ukilinganisha na makampuni mengine katika biashara ya mtandao

 • Unaweza kuianza kwa mtaji mdogo chini ya Tsh 500,000/-
 • Ni rahisi kuitangaza na kuielewa kwakuwa ni bidhaa moja tu
 • Ni kinywaji kitamu chenye radha nzuri na kila mtu anakipenda na anaweza kukitumia
 • Mfumo wa biashara unatumia mguu mmoja- yaani mwanachama anaweza kuingiza wanachama wengine wengi moja kwa moja bila kikomo
 • Haiihitaji kuuza,unauza habari pekee
 • In njia nyingi za kujipatia kipato – Njia 8
 • Hauhitaji kuweka au kutunza bidhaa nyingi (Mteja ananunua mwenyewe toka katika kampuni moja kwa moja)

 Fanya Maamuzi na Ujiunge

Natumaini makala hii imekupa nafasi ya kuelewa kuhusu Trevo- biashara ya kuanza kwa mtaji mdogo na juu ya misingi ya biashara ya mtandao kwa ujumla.  Ufahamu huu utakusaidia kufanya maamuzi sahihi unapofikiria kuanzisha biashara binafsi bila ya kuwa na fedha nyingi za mtaji.

Jiunge na timu yenye mafanikio na ujifunze mbinu za wengine waliofanikiwa tayari katika biashara ya Trevo.

Jiunge na timu yangu leo na twende pamoja. Uzuri wa biashara hii ni kuwa walioanza na kuijua biashara wako tayari kukupa mbinu na siri zao zote za mafanikio tofauti na biashara nyingine za kawaida- Kwanini? –Sababu katika biashara ya mtandao kufanikiwa kwako kunatokana na mafanikio ya kila mtu katika timu.

Namba yangu ya unachama ni 4808387 tumia hii kujiunga.

Nitakufundisha mbinu za kufanya biashara hii katika mtandao kwa kutumia tovuti,blogu na mitandao ya kijamii bure kama vile nifanyavyo. Pia mbinu za kuifanya nje ya mtandao (Offline).

Ukitaka kujua zaidi kuhusu kujiunga na fursa ya Trevo wasiliana nami kupitia:

Asante na karibu Trevo

 

Facebook Comments

Facebook comments

Leave a Comment