Category - Afya Zetu

Afya Zetu

Faida za Chai ya Tangawizi

Hakuna ambacho kinaongeza joto katika mwili wa binadamu wakati wa baridi kama chai ya tangawizi. Kutokana na kiwango chake cha juu cha Vitamin C, magnesiamu na madini mengine, tangawizi ni ya manufaa sana kwa afya ya bianadamu. Tangawizi ni mmea …