Category - Jamii

Sanaa

Nasema Nawe wa Daimond Platnamz

Msanii Maarufu Daimond amekuja kivingine akimshirikisha Malkia wa Mipasho-Hadija Kopa katika mahadhi ya nyimbo za pwani. Sina hakika kama hii ni taarabu au mduara. Angalia video ya Nasema Nawe wa Daimond. Maoni: Toa maoni yako kuhusu msanii huyu na …