Nukuu Muhimu

Furaha ni nini?-Ni pale fikra,maneno na matendo vinapoendana

quote1.fw

Ni wazi kuwa huwezi kufiri vizuri ukasema vibaya,japo inawezekana ukasema vizuri na ukatenda vibaya. Furaha ni kitu ambacho kiko ndani yako na sio nje.  Sina hakika kama unapata furaha pale unapofikiri vibaya ,kusema vibaya na kutenda vibaya ila kinyume chake. FIKIRI VIZURI,SEMA VIZURI na TENDA VIZURI.

Kujua kipi ni kizuri na kipi kibaya ni somo jingine kabisa. Hebu anza kwenye misingi ya utamaduni wako,au imani yako ya dini. Kwani mara zote au mara nyingi vinafundisha vitu vyema.

 

 

&nbsp

Facebook Comments

Facebook comments

Leave a Comment