Kuhusu Bongo Posts

Bongo Posts ni tovuti blogu yenye lengo la kutoa elimu na habari kwa wasomaji wake. Kuanzia habari, ucheshi,matukio yanayojiri duniani kote,afya,sayansi na teknolojia.

Blogu hii inatumia waandishi mbalimbali wenye utaalamu katika maeneo mbalimbali ili kuhakikisha mada zake ni za kitaaluma na zisizopotosha wasomaji wake.

Florens Kayombo- Mwanzilishi, Mbunifu & Mwandishi wa bongoposts.com

FKFlorens Kayombo ni Mtaalamu mzoefu katika mifumo ya  TEHAMA ambaye ana shauku kubwa katika teknolojia ya mtandao na kubadilishana habari.
Yeye ni mtengenezaji wa programu za komputer na mshauri  TEHAMA katika kampuni  aliyoianzisha na kuiendesha ya Absolute Solutions Ltd. Ametengeneza tovuti nyingi kwa wateja mbalimbali ili kuboresha habari na mawasiliano katika biashara.

Hivi karibuni amejikita pia katika sekta ya biashara na masoko katika mtandao.

Soma zaidi kuhusu Florens Kayombo

James Mapunda- Mwandishi wa bongoposts.com

JamesJames Mapunda ana cheti katika uandishi wa habari na shauku kubwa ya uandishi.
Mbali na shauku katika kuandika ana penda sanaa hsusani kuimba na kuigiza.
Ameshiriki katika kazi kadhaa za sanaa nchini Tanzania na ana matumaini makubwa katika sanaa siku za mbele.