Michezo

Lukaku ni Matata kweli kweli

lukaku

Staa wa Chelsea aliyekua akichezea Everton msimu uliopita, Romelu Lukaku aliifungia timu yake ya taifa magoli matatu katika ushindi wa 5-1 dhidi ya luxembourg. ilichukua dakika tatu tu kwa Lukaku kuliona lango la Luxembourg, lakini Joachim aliisawazishia Luxembourg dakika kumi baadaye, Lukaku alijibu mapigo dakika kumi tena kwa kuandika bao la pili, na dakika ya 53 alihitimisha klamu yake ya magoli kwa siku hiyo.

Magoli mengine yalifungwa na Chadli na de Bruyne.

Facebook Comments

Facebook comments

Leave a Comment