Michezo

Je Bongo Fleva ni Fursa? Angalia video hii ya James Mapunda “Makintosh”- Zoba

Muziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva au Bongo Flavour) umekuwa ni fursa kwa vijana wa Kitanzania. Ikifanywa sawasawa inaweza ikapunguza tatizo la ajira nakuleta unafuu wa maisha kwa Watanzania.

Angalia kazi  yangu katika video hii na toa maoni

 

&nbsp

Facebook Comments

Facebook comments

Leave a Comment