Namna ya kutengeneza Tsh Bilioni 1.6 kupitia Biashara ya Mtandao Katika Mwaka 1

Kampuni ya QNET ilianzishwa mwaka 1998 huko Hong Kong na inajishughulisha na uuzaji wa bidhaa mbalimbali kupitia mtandao wa intaneti.

Kampuni ipo katika nchi zipatazo 160 na ina ofisi katika nchi 18 offices na ni biashara ya kwenye mtandao kwa 100%.

Ni kampuni kubwa zaidi bara Asia  na kampuni inayokua kwa kasi zaidi duniani.

Kampuni inatumia mfumo wa biashara ya mtandao (Network Marketing) katika kusambaza bidhaa zake kote duniani.

Kampuni inashirikiana na makampuni mbalimbali yanayozalisha bidhaa zenye ubora wa viwango vya juu na kuviuza kupitia mtandao kupitia wanachama wake.

Ili kununua bidhaa unatakiwa kujiunga na kuwa mwanachama wa kampuni hii.