Sanaa

Nasema Nawe wa Daimond Platnamz

Msanii Maarufu Daimond amekuja kivingine akimshirikisha Malkia wa Mipasho-Hadija Kopa katika mahadhi ya nyimbo za pwani. Sina hakika kama hii ni taarabu au mduara.

Angalia video ya Nasema Nawe wa Daimond.

Maoni:
Toa maoni yako kuhusu msanii huyu na ubunifu wake. Nini cha kuvutia katika wimbo nasema nawe wa Daimond.

Haya ni mahadhi gani? Taarabu? hapana.. tuambie katika sanduku la maoni hapa chini

Facebook Comments

Facebook comments

Leave a Comment