Onyo

bongoposts.com huandika maoni na mawazo ya mwandishi. Habari kwenye tovuti hii haipaswi kuwa mbadala wa ushauri wa kitaalamu.
Maoni yanayotolewa na waandishi katika tovuti hii si lazima kuwa ni maoni ya tovuti hii.

Japokuwa maoni katika tovuti hii hupitiwa na kurekebishwa kabla ya kuoneshwa ikiwa yanakiuka mwenendo na maadili ya uandishi lakini inaweza kuwa vigumu wakati mwingine kupitia maoni yote, kwa hiyo maoni kwenye tovuti hii ni  wajibu wa waandishi wenyewe. Mwandishi atawajibika mwenyewe na kupokea lawama au kashfa zitakazotokana na maandiko yake au kutokana na maoni yaliyotolewa na wasomaji kutokana na maandiko yake .

Usahihi, ukamilifu, ukweli, uaminifu, uthabiti na upole wa wanaotoa maoni si ya uhakika na tovuti hii haiwezi kuhakikisha uhakika na usahihi wake.

Ingawa inaweza kudaiwa vinginevyo, tovuti hii haitoi huduma za kisheria, matibabu, saikolojia au huduma yoyote nyingine ya kitaalamu,yote yanayoandikwa hapa ni kutokana na elimu na utashi wa mwandishi mwenyewe. bongoposts.com au mmiliki, hawajibiki binafsi kwa matokeo yoyote yatakayotokana na kufuata au kujaribu yaliyoandikwa katika tovuti hii.

Taarifa ya Mahusiano na Wauzaji na Watangazaji
Tovuti hii pia inaweza kulipwa fedha kwa kuwaelekeza watembeleaji wake kwenda katika tovuti nyingine za washirika kwa madhumuni ya kuuza bidhaa au huduma mabalimbali.

Matangazo / Wadhamini
bongoposts.com inaweza kujiunga na kuonesha matangazo toka tovuti washirika.  Hii inaruhusu kuonyesha matangazo na kulipwa kiasi cha fedha kwa kuonesha matangazo katika tovuti hii na kama matangazo hayo yatabofywa na/au kama mtembeleaji atanunua bidhaa toka tovuti washirika.