QNET Business Opportunity

Kampuni ya QNET ilianzishwa mwaka 1998 huko Hong Kong na inajishughulisha na uuzaji wa bidhaa mbalimbali kupitia mtandao wa intaneti.

Kampuni ipo katika nchi zipatazo 160 na ina ofisi katika nchi 18 offices na ni biashara ya kwenye mtandao kwa 100%.

Ni kampuni kubwa zaidi bara Asia  na kampuni inayokua kwa kasi zaidi duniani.

Kampuni inatumia mfumo wa biashara ya mtandao (Network Marketing) katika kusambaza bidhaa zake kote duniani.

Kampuni inashirikiana na makampuni mbalimbali yanayozalisha bidhaa zenye ubora wa viwango vya juu na kuviuza kupitia mtandao kupitia wanachama wake.

Ili kununua bidhaa unatakiwa kujiunga na kuwa mwanachama wa kampuni hii.

Bidhaa za Kampuni

Kampuni iana bidhaa katika makundi 5 makubwa:

  1. Saa na Vito vya Thamani
  2. Masomo ya Mbali katika Mtandao
  3. Bidhaa za Afya na Mwili
  4. Bidhaa za Matumizi ya Nyumbani
  5. Vifurushi vya Hoteli na Safari

Fursa 2 kubwa za Kampuni

Kampuni inakupa fursa mbili kubwa:

  1. Bidhaa yenye ubora wa juu na yenye manufaa kwako na familia yako
  2. Nafasi ya kujenga bishara kwa kuwaunganisha wengine kuwa wanachama na watumiaji wa bidhaa za kampuni na hivyo kukupa kipato.

Kununua Bidhaa na Kujiunga

Ili kujiunga unatakiwa kununua bidhaa toka katika kampuni mara moja tu ( Unaweza kuendelea kunua nyingine baada ya hapo ukipenda lakini sio lazima) na tayari unakuwa mwanachama.

Bidhaa zinanunuliwa katika tovuti ya kampuni kwa kutumia namba ya utambulisho ya mtu aliyekualika katika biashara.

Kama umenunua bidhaa inayoshikika basi itatumwa kwako popote ulipo duniani kutumia makampuni makubwa ya usafirishaji kama DHL,FEDEX n.k

Kama umenunua huduma (bidhaa isiyoshikika) kama huduma za hotel na kusafiri au masomo kwa njia ya mtandao basi utaweza kuanza kutumia huduma hizo mara moja

 Kujenga Timu na Kukuza Bishara

Ili kukuza biashara na kulipwa na kampuni ,mwanachama anatakiwa kuwakaribisha watu wawili, mmoja kulia na mwingine kushoto kwake

Wote hawa watatakiwa kununua bidhaa za kampuni ili kuwa wanachama. Wawili hawa watafundishwa namna ya kufanya biashara kitaalamu na watasaidiwa na kiongozi aliyewaalika mpaka nao wapate watu wawili chini yao.

Nao hao wawili wataendelea kufanya hivyo hivyo kwa wale waliowaalika-kuwafundisha  na kuwasaidia kupata watu wawili chini yao.

Mfumo wa Malipo na Kipato

Unapokuwa mwanachama kwa kununua bidhaa yenye BV 3 (BV= Business Volume yaani pointi 3000) na ukaingiza watu waili,mmoja kulia na mwingine kushoto wotw wakiwa na BV 3 utakuwa tayari umekidhi kulipwa kamisheni na kampuni.

Kwa kila BV 3 katika mguu wa kushoto na BV3 mguu wa kulia unalipwa $200 na kampuni

Makadirio ya Mapato kwa Mwaka Mmoja

Iwapo utapata watu wailim katika mwezi mmoja na kila mmoja akapata waili katika mwezi mmoja basi makadirio ya mapato yakuwa kama ifuatavyo:

Mwezi 1 

Ukipata watu 2 katika mwezi wa kwanza kwa BV 3 kila mmoja
Jumla ya BV: 6 – Kushoto: BV 3 , Kulia: BV 3
Malipo: $200 = Tsh 400,000

Mwezi 2 :

Watu wote wa mwezi 1 wakipata watu 2 katika mwezi wa 2 kwa BV 3 kila mmoja
Jumla ya BV: 12- Kushoto: BV 6 , Kulia: BV 6
Malipo: $400 = Tsh 800,000

Mwezi 3 :

Watu wote wa mwezi 2 wakipata watu 2 katika mwezi wa 3 kwa BV 3 kila mmoja
Jumla ya BV: 24- Kushoto: BV 12 , Kulia: BV 12
Malipo: $800 = Tsh 1,600,000

Mwezi 4 :

Watu wote wa mwezi 3 wakipata watu 2 katika mwezi wa 4 kwa BV 3 kila mmoja
Jumla ya BV: 48- Kushoto: BV 24, Kulia: BV 24
Malipo: $1,600 = Tsh 3,200,000

Mwezi 5 :

Watu wote wa mwezi 4 wakipata watu 2 katika mwezi wa 5 kwa BV 3 kila mmoja
Jumla ya BV: 96 – Kushoto: BV 48, Kulia: BV 48
Malipo: $3,200 = Tsh 6,400,000

Mwezi 6 :

Watu wote wa mwezi 5 wakipata watu 2 katika mwezi wa 6 kwa BV 3 kila mmoja
Jumla ya BV: 192- Kushoto: BV 96, Kulia: BV 96
Malipo: $6,400 = Tsh 12,800,000

Jumla ya fedha zote katika miezi 6: Zaidi ya Milioni 25

$200+$400+$800+$1,600+$3,200+$6,400 = $12,800 (Th. 25,600,000)

Utapataje watu 2 wa kwanza?

Viongozi wako wata kaa nawewe na kukupa mwongozo wa namna ya kuwapata watu wawili katika ndugu,marafiki na watu unaowafahamu.

Kwa kutumia mfumo maalumu wa kampuni utapata watu wawili wa kwanza.

Watu hawa wataalikwa kwenye kaikao ambacho viongozi wako watakuwapo na watamwonyesha fursa hii mbele yako. Nao wataamua kujiunga chini yako.

Fahamu kwamba hakuna mtu ambaye hataipenda hii fursa, kwa hiyo ni rahisi kupata watu wawili.

Namna ya Kupata Taarifa Zaidi na Kujiunga

Ili kupata taarifa zaidi kuhusu fursa hii utatakiwa kuongea na mwakilishi wa kampuni ana kwa ana au kwa mkutano katika intaneti (Mfano Skype) kulingana na mji uliopo.

Nipigie simu kwa maelezo zaidi na kuwasiliana. Simu zangu ni 0765 027402/0713 514703

Pia nitumie namba yako iliniweze kukupigia pia.

Asante sana na karibu katika bishara ya mtandao katika intaneti.

QNET ni fursa ya kukuwezesha kubadirisha maisha yako kiafya na kifedha pia.

Ni biashara ambayo unaweza kufanya katika muda wako wa ziada lakini inaweza kukuingizia fedha zaidi ya kazi yako ya kutwa.

Jisajili nasi  kupata taarifa zaidi

Fomu ya Taarifa kwa Mawasiliano Zaidi:

Jina *

Barua Pepe *

Namba ya Simu

Ujumbe