Sera ya Faragha

Sera ya Faragha kwa www.bongoposts.com

Kama unahitaji maelezo zaidi au una maswali yoyote kuhusu sera yetu ya faragha, tafadhali jisikie huru kuwasiliana nasi kwa barua pepe katika admin@bongoposts.com.

Ukiwa www.bongoposts.com, siri ya wageni wetu ni ya umuhimu sana kwetu. Hii hati ya Sera ya faragha inaonyesha aina ya taarifa binafsi zinazochukuliwa na kukusanywa na www.bongoposts.com na jinsi zinavyotumika.

Mafaili ya Kumbukumbu

Kama tovuti nyingine katika mtandao, www.bongoposts.com hutumia mafaili ya kumbukumbu. Taarifa katika mafaili haya ni pamoja na pamoja na Protokali ya Mtandao (IP), aina ya kivinjari(browser), Mtoa Huduma ya Mtandao(ISP), tarehe / saa ,kurasa za kuingilia au kurasa ya kutoka, na idadi ya mibofyo ili kuchambua mwenendo, uongozi wan a usimamizi wa tovuti, kufuatilia harakati na tabia za mtumiaji harakati akiwa katika tovuti, na kukusanya taarifa ya idadi ya watu wanaotembelea tovuti yetu.

Anwani ya IP, na taarifa nyingine zinazofanana nayo hazihusishwi na taarifa yoyote binafsi zinazomtambulisha mtumiaji.

Vidakuzi na Alama Nguzo za Wavuti

www. bongoposts.com haitumii vidakuzi(cookies).

Baadhi ya washirika wetu wa matangazo kutumia vidakuzi na alama nguzo za mtandao (web beacons) kwenye tovuti yetu.

Washirika wetu wa mitandao ya matangazo hutumia teknolojia ya matangazo na viunganisho katika www.bongoposts.com kutuma moja kwa moja kwenda kwenye brauza yako. Wao moja kwa moja hupokea anwani yako ya IP wakati hili linapotokea. Teknolojia nyingine (kama vile vidakuzi, JavaScript, au Alama Nguzo za Wavuti) pia inaweza kutumika na washirika wetu wengine wa mitandao ya matangazo kuweza kupima ubora wa matangazo yao na / au kubinafsisha matangazo yanayonekana kwenye tovuti yetu.

www. bongoposts.com haina uwezo wa kufikia au kudhibiti vidakuzi vinavyotumiwa na washirika wengine wa nje katika matangazo.

Ukitaka kuzima kidakuzi katika brauza yako ili kuzuia taarifa hizi, unaweza kufanya hivyo kwa kurekebisha mpangilio wa brauza yako.