Mbinu za Kuongeza Kipato Kwa Asilimia 100 ya Kipato Chako cha Sasa

Mbinu za Kuongeza Kipato Kwa Asilimia 100

 

Suala la kuongeza kipato ni la msingi sana na lina umuhimu mkubwa kwa kila mmoja. Si watu wengi sana duniani wana kipato cha kutosha kutimiza ndoto zao maishani,wakati mwingine hata kukidhi mahitaji ya msingi kama chakula,malazi,mavazi ,afya na elimu …